FEAR WOMEN
Mzinga an Siasa SABABU NYINGINE YA KUWAOGOPA WANAWAKE #UZI (TRUE STORY) Nina jamaa angu ni mwalimu wa shule ya msingi moja mkoani Mwanza, mwezi wa kwanza mwaka huu aliamua kuvuta jiko dada mmoja muuguzi katika hospital mmoja mkoani humo humo japo hakufunga ndoa ya kanisani. Maisha baada ya jamaa kuamua kuishi pamoja na ile pisi yakikuwa matamu kwa walipendana sana! baada ya miezi miwili kupita jamaa alianza kuletewa stori kuwa demu wake anachepuka na daktari mmoja hospitali pale, mapenzi ni upofu sometimes kwani jamaa alipuuza hizo taarifa Siku zikaenda, baada ya muda kidogo boda anaempelekaga manzi wa jamaa akamchana mwana oya si kwa ubaya ila demu wako anaku cheat bro, talk to her! jamaa hakukaza fuvu this time! Jumapili iliyopita ya tarehe 14 mwez huu demu alitoa taarifa kwa mchizi kuwa jumatatu na j4 ya wiki hiii atakuwa na night shift afu then day off! jamaa akasema poa nitawahi kutoka shule nije tu spend time ya mchana wote! J3 ikafika, mida ya saa 12 jioni wife a...
