SABUNI ZA MICHE
Mzinga& politics
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MICHE
MAHITAJI YA MALIGHAFI.
(i) Caustic soda
(ii Mafuta ya nazi,mise,mbosa au mawese au ya nyonyo
(iii)Maji
(iv)Pafyum
(v)Hydrogen peroxide
(vi) Chumvi kwaajili ya kuifanya sabuni nzitonaisiisheharak
VIFAA VINAVOTAKIWA
(i) Mwiko mrefu – kwa ajili ya kukorogea.
(ii) Beseni au ndoo safi - kwa ajili ya kuchangamnyia sabuni.
(iii)Kipimio – kwa ajili ya kupima vitu mbalimbali.
(iv)Maski – kwa ajilki ya kujikinga na chemikali.
(v)Gloves – kwa ajili ya kujikinga na chemikali pia.
(vi)Soap moulder – hii kwaajiliyakuipa shape sabuni.
<script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-8666722095431293"
crossorigin="anonymous"></script>JINSI YA KUTENGENEZA;
hatua ya kwanza;
Loweka caustic soda kilo tatu kwenye maji lita 9 na unapaswa kutumia chombo cha bati na sio cha plastic.Koroga kwa muda wa dakika 15 na acha kwa muda wa siku 5.
hatua ya pili;
Chagua aina ya mafuta mojawapo ambayo umeyapata na anza kuchanganya sasa.Changanya caustic soda1 na mafuta lita 1 na nusu.changanya na gryceline vijiko viwili vya chakula.pafyumu kijiko kimoja cha chai. Chumvi kijiko kimoja cha chakula.koroga kwa pamoja na uweke kwenye umbo na sabuni itakuwa tayari
Comments